Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BREAKING NEWS::: LIONEL MESSI KASTAAFU RASMI KUICHEZEA ARGENTINA NI BAADA YA KUKOSA PENALTI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

"The national team is over for me. That's four finals [lost]; it's not for me," Messi told reporters after losing his third final in as many years. "The decision is made, I think."
$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina.
Dakika 120 za mchezo huo zilishuhudia timu hizo zikienda suluhu ya bila kufungana. Mchezo huo ulitawaliwa na ubabe wa hapa na pale huku ikushuhudiwa timu zote mbili zikimaliza kipindi cha kwanza zikiwa na wachezaji 10 baada ya Marcelo Diaz wa Chile kulambwa kadi mbili za njano na kuwa nyekundu dakika ya 28 kabla ya Marcos Rojo wa Argentina kutolewa nje dakika ya 43 kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja. Katika upigaji wa penalti,Arturo Vidal wa Chile alianza kwa kukosa kabla ya Lionel Messi na Lucas Biglia kukosa kwa upande wa Argentina na hapo ndipo Messi akaamua kustaafu rasmi kuichezea timu hiyo. 
Hii inakuwa fainali ya pili ndani ya miaka miwili kwa timu hizi mbili kukutana katika hatua ya fainali amapo mara zote mbili Chile wamechukuwa kikombe hicho kwa mikwaju ya penalti. 
Fainali hizi zilichezwa mwaka jana nchini Chile na kurudiwa mwaka huu ikiwa ni maadhimisho ya miaka 100 tokea kuanza kwa michuano hii mwaka 1916.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BREAKING NEWS::: LIONEL MESSI KASTAAFU RASMI KUICHEZEA ARGENTINA NI BAADA YA KUKOSA PENALTI

No comments :