Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » CPC DODOMA WASUSIA TAMASHA LA MEDIA CAR WASH, WATAJA DHARAU ZA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DAR, MWENYEKITI ATOA YA MOYONI ASEMA LABDA ...LAKINI HATOSHIRIKIANA NAO....
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wakati waandishi wa habari wakijiandaa kesho kuingia katika viwanja vya jamhuri mkoani dodoma katika tamasha la Media Car Wash, Chama cha waandishi wa habari mkoa wa dodoma CPC wametangaza kutoshirikiana nao kwa kile walichodai ni kudharauliwa na wenzao wa chama cha waandishi wa habari wa mkoa wa Dar es salaam.

kauli hiyo ameitoa Mwenyekiti wa CPC mkoani dodoma Bwana Abel Chidawali akizungumza na kituo cha redio cha Rasi Fm mkoani dodoma na kudhibitisha kuwa waandishi wa dodoma hawajapenda na hawako tayari kuhudhuria kwa utambulisho wa chama na hawatarajii kutoa mchango wowote katika shughuli hiyo.

zaidi kuhusu sakata hilo msikilize hapa Mwenyekiti Chidawali akitoa ya moyoni>>>>>>> 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / CPC DODOMA WASUSIA TAMASHA LA MEDIA CAR WASH, WATAJA DHARAU ZA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DAR, MWENYEKITI ATOA YA MOYONI ASEMA LABDA ...LAKINI HATOSHIRIKIANA NAO....

No comments :