Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » DIWANI WA (CCM) KATA YA BUIGIRI DODOMA AMEKABIDHI MIFUKO 50 YA SIMENTI KATIKA SHULE YA CHINAGALI B KWA UKARABATI WA VYUMBA VYA MADARASA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na Peter Mkwavila, Dodoma

Diwani wa kata ya Buigiri wilaya ya Chamwino Kenneth Yindi (CCM) akimkabidhi Msaidizi mwalimu mkuu wa shule ya Chinagali B Jabu Munisi sehemu ya mifuko 50 aliyotoa kwa jili ya ukarabati wa vyumba vya madarasa 

Diwani wa kata ya Buigiri wilaya ya Chamwino Kenneth Yindi (CCM) aliyevaa suti ya kijivu akikagua akiwa na walimu na watendaji wa kata moja ya chumba cha darasa ambalo limekosa sakafu katika shule ya Chinangali B kabla ya kupatiwa  madawati.

Afisa Masoko mwandamizi wa shirika la viwango Tanzania (TBS) Gladness Kaseka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tahadhali ya matumizi ya bidhaa zisizo na viwango kwenye ufunguzi wa maonyesho ya wajasirimali yanayofanyika mkoani Dodoma kushoto ni Afisa mdhibiti ubora Zainab Mziray.

PICHA ZOTE NA PETER MKWAVILA

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / DIWANI WA (CCM) KATA YA BUIGIRI DODOMA AMEKABIDHI MIFUKO 50 YA SIMENTI KATIKA SHULE YA CHINAGALI B KWA UKARABATI WA VYUMBA VYA MADARASA.

No comments :