Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RAIS WA TFF ANAKUTANA NA YANGA SC LEO, LAKINI ATAKUWA NA MAJIBU YOTE YA WANAJANGWANI JUU YA NCHI YAKE {TFF}?
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi Leo Jumanne Juni 7, 2016 saa 5.00 asubuhi anakutana na uongozi wa Young Africans pamoja na sekretarieti ya TFF kuzungumzia mustakabali wa uchaguzi wa Klabu ya Yanga. 

Kikao baina wadau hao kinatarajiwa kufanyika ofisi za TFF.

IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

Swali ni kwamba kwanini TFF wanashupalia swala hilo la uchaguzi? na vipi kuhusu ushahidi wa Rushwa uliofikishwa jana TAKUKURU dhidi ya watendaji baadhi wa TFF? na mwisho ikiwa ni kweli kuna sababu gani y akuwa na watu kama hao katika soka letu linalohitaji matokeo y auwanjani zaidi ya sokoni?

ni maoni yangu tu na maswali hayo nimejiuliza binafsi lakini kama una jibu nijibu pia kimya kimya.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RAIS WA TFF ANAKUTANA NA YANGA SC LEO, LAKINI ATAKUWA NA MAJIBU YOTE YA WANAJANGWANI JUU YA NCHI YAKE {TFF}?

No comments :