Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MH. LOWASSA AIBUKIA MWEZI RAMADHAN NA KUWATAKIA WAISLAM MFUNGO MWEMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Waziri Mkuu wa Mstaafu ambaye pia alikuwa mgombea urais kwa Tiketi ya Chadema ameibuka na kuwatakia mfungo mwema waislam wote nchini.

Kupitia ukurasa wake wa facebook. Lowassa ameandika;
"Waumini wa kiislam Tanzania wanaungana na wenzao kote duniani katika kutimiza moja ya nguzo tano Za uislam kufunga Ramadhan. 

"Mwezi huu mtukufu wa Ramadhan ni kipindi muhimu sana kwa waislam kuwa karibu na mola wao.
"Kwa niaba ya Mke wangu Regina na Mimi binafsi, nachukua nafasi hii kuwatakia waislam wote nchini,kila la kheri na baraka tele kwenye mwezi huu.
"Hata hivyo nasononeshwa na hali ya maisha ya watanzania nchini hivi sasa inavyozidi kuwa ngumu.Bei Za bidhaa mbalimbali zimezidi kupanda na zaidi kuadimika kwa sukari ambayo ni bidhaa muhimu sana hasa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
 
"Nawaomba wafanyabiashara kupunguza bei ya bidhaa hususan zile muhimu katika mwezi huu, ili ndugu zetu waislam watimize Ibada yao vizuri.
"Aidha kwa waislam nawaomba tutumie mwezi huu kuliombea taifa letu amani,upendo na mshikamano.Lakini zaidi kuomba haki na hamu ya watanzania kuona mabadiliko ya kisiasa yanafanyika kwa amani na wale wenye ulevi wa kuminya haki hiyo, hawapati tena nafasi kutekeleza uovu wao na zaidi Kuwaombea viongozi wetu wawe na hofu ya Mungu.
"Mbarikiwe sana na nawatakia kila la Kheri."

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MH. LOWASSA AIBUKIA MWEZI RAMADHAN NA KUWATAKIA WAISLAM MFUNGO MWEMA

No comments :