Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MKUTANO WA CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA [CHAVITA] WAFANYIKA MJINI DODOMA UKISHILIKISHA MIKOA 17
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwenyekita wa CHAVITA Nembross Mlawa akiongea jambo kwenye mkutano wa mwaka kikatiba unaofanyika Dodoma

Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia walemavu  Dr. Abdallah Possi akifafanua jambo kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa Mwaka wa CHAVITA uliofanyika Dodoma

Mmoja wa viongozi waandamizi wa Chama cha Viziwi Tanzania CHAVITA akisema  wakati akimshukuru Mgeni Rasmi Dkt, Possi aliyewafungulia mkutano wao IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Na John Banda, Dodoma

NAIBU Waziri [Ofisi ya Waziri Mkuu], Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Dkt, Abdallah Possi amewataka watendaji wa serikali wanaoshindwa kuwahudumia walemavu ipasavyo na badala yake wanakuwa wakiandika Taarifa nzuri bila utekelezaji, kuwajibika la sivyo kiama chao kimewadia.

Naibu waziri huyo aliitoa kauli hiyo kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa kikatiba wa chama cha viziwi Tanzania [CHAVITA] kilichofanyika mjini Dodoma kikishirikisha wajumbe toka mikoa yote Nchini

Possi alisema Uvumilivu kwa watendaji wa serikali ambao hawataki kutekeza majukumu yao hasa kupitia taarifa zao wanazoandika kuhusu walemavu  umefika mwisho nasasa kusiwe na wakulaumu kwanini katumbuliwa iwapo atapitiwa na fagio la Magufuli.

Alisema watendaji hao wamekuwa wakiandika tarifa nzuri na za kuvutia pindi zinapohitajika lakini kiuhalisia wakingaliwa wahusika wenyewe ambao ni walemavu bado wanachangamoto nyingi kana kwamba nchi hii haiwahusu na hata baadhi ya vyama vyao vinapojitutumua kutafuta wafadhili huingiliwa na mwishowe malengo hayafikiwi.

“uvumilivu wangu kwa watendaji wa serikali ambao hawawajibiki ipasavyo kutokana na yale ambayo wanayaandikia kwenye taarifa umefika mwisho na hatua za kutumbuana nitachukua mapema iwezekanavyo hivyo wajiandae kisaikolojia.

Watendaji waliowengi wanawachukulia walemavu isivyo kwa kuwa mambo yao mengi kutokana na kuwa wamejenga dhana kuwa hawawezi kuyafuatilia wala kulalamikia popote mawazo ambayo kwa sasa yanapaswa kuachwa”, alisema

Aidha Dkt, Possi alisema hahitaji kuingia katika historia mbaya ya kuwa mmoja kati ya watu wanchi hii wasiojitenda haki kutokana nayeye kuwa mwanaharakati ambaye amekosoa sana mifumo na watendaji wa serikali ambao hawakuwasaidia Wala kuwaelekeza njia walemavu kwa kuandika maandiko mbalimbali na mwishoe alipata nafasi ya kuwatumikia asifanye hivyo

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CHAVITA Nembross Mlawa alisema Jumla ya wajumbe wa mkutano huo toka mikoa na matawi 17 lengo likiwa kuwasilisha Taarifa za utendaji  wa chama ngazi ya mikoa na taifa kwa ujumla ikiwemo kujadili Malekebisho ya katiba ya chama hicho.   

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MKUTANO WA CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA [CHAVITA] WAFANYIKA MJINI DODOMA UKISHILIKISHA MIKOA 17

No comments :