Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UNICEF: HALI YA WAKIMBIZI WATOTO NI MBAYA UJERUMAN
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limekosoa vikali hali mbaya inayowakabili wakimbizi watoto nchini Ujerumani na kusema kuwa hawapewi huduma zinazofaa za tiba wala elimu.
Ripoti ya UNICEF imesema kuwa, wakimbizi watoto nchini Ujerumani hawapewi huduma ya elimu kwa miezi kadhaa sasa. Imeongeza kuwa vijana wanahitaji usimamizi na ulinzi bora zaidi kutokana na unyanyasaji wanaukumbana nao katika kambi kubwa na kwamba wakimbizi watoto waliopatwa na matatizo ya kinafsi kutokana na mashaka ya vita, wanahitaji huduma maalumu kama za wenzao wa Ujerumani.
Mkuu wa ofisi ya UNICEF nchini Ujerumani, Christian Schneider amesema watoto wote wana haki sawa bila ya kujali wanatoka wapi au ni wa jamii ipi.
Awali Shirika hilo la Watoto la Umoja wa Mataifa lilikuwa tayari limetahadharisha kuwa wakimbizi watoto wanalazimishwa kutenda uhalifu au kujihusisha na ukahaba nchini Ufaransa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UNICEF: HALI YA WAKIMBIZI WATOTO NI MBAYA UJERUMAN

No comments :