Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WANA YANGA DODOMA WALIVYOJIPANGA KUWASHANGILIA WA KIMATAIFA JUMANNE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na Mwandishi Wetu

KATIBU msaidizi wa tawi la yanga la mkoa wa Dodoma John Banda amewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuhudhulia mkutano wao utakaojadili safari ya jijini Dar jumanne kwa ajili ya kuisapoti timu yao leo.

Akiongea na waandishi wa habari mjini Dodoma Banda alisema kikao hicho ni muhimu kwa wanayanga na wanaoipenda timu hiyo ili kuweza kupanga kuwa wataondoka mkoani humo siku ipi kati ya Jumatatu na jumanne

Alisema mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Master Pub unaotazamana na garofa la Bima Barabara ya mtendeni kuanzia saa 3 asubuhi siku ya jumapili june 26 mwaka huu 

“ndiyo tunakutana jumapili hii wanachama na mashabiki wote wa Yanga katika mkutano maalumu wa kupanga namna ya kwenda jijini Dar kwa ajili ya kuishangilia timu yetu kwani tunajua mashabiki ni sehemu ya mchezo

Mchezo huo ni muhimu sana ukizingatia timu yetu ndiyo pekee inayowakilisha si nchi tu bali na mataifa yote ya Africa mashariki na kati katika hatua ya makundi shirikisho Africa, hivyo niwatake na wenzetu wa matawi mengine nchini kushikamana tukaishangilie kwa nguvu na watanzania kuiombea na hatimaye iweze kufanya vizuri”, alisema

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WANA YANGA DODOMA WALIVYOJIPANGA KUWASHANGILIA WA KIMATAIFA JUMANNE

No comments :