Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUHUSU KUFUKUZWA KABURU RECORD,PAPA MISIFA AMEFUNGUKA HAYA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

kumekuwa na taarifa kuhusu kutimuliwa kwa Papaa misifa katika Label ya Kaburu Record lakini sasa kwa kinywa chake mwenyewe amefunguka kwa kusema hajafukuzwa kama uongozi wa label hiyo Ulivyoripoti.

“Mimi sijafukuzwa kwanza na sina mkataba na mtu yeyote, wao walikuja kuniomba mimi kama Aljazira ili twende nikamsaidie kuipeleka kampuni yake mbele na tulikubaliana makubaliano. Lakini kumbe yule jamaa alikuwa hajajipanga, kipato hana, tarehe moja mwezi wa saba eti anakwambia mbona hakuna pesa, mbona pesa hazipatikani?,” alisema Papa Misifa.

“Sasa unapataje pesa bila matangazo yoyote, bila kazi alafu unasema unataka upate pesa kwa haraka kwa sababu umewekeza pesa. Kwa hiyo nikagundua nilikuwa nafanya biashara na mtu ambaye hajui biashara, kwa sababu mtu hata ukiwa unauza nyanya ndani ya mwezi mmoja huwezi ona mafanikio hayo ambayo anayazungumzia bila hata kufanya matangazo yoyote. Kwa hiyo mimi pale nimeondoka nimerudi Aljazira, naendelea kusaidia vijana mbalimbali,” aliongeza.

Chanzo: Ubuyu blog

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUHUSU KUFUKUZWA KABURU RECORD,PAPA MISIFA AMEFUNGUKA HAYA

No comments :