Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WENGINE HUSEMA NI MILA POTOFU, LAKINI WAO WA MALAWI WANASEMA HUONDOA MIKOSI, HII NDIO DUNIA BWANA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Katika tamaduni nyingi kote duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari kubwa sana akiwa ni bikira.
mathalan ni dhihirisho la mwanamke kuwa amelelewa na kutunzwa vyema.

Ni dhihirisho la usafi.

Hata hivyo jamii moja nchini Malawi haithamini ubikira wa watoto wao wa kike.

Amini usiamini wazazi huwa wanamlipa ''Fisi'' kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya kwanza.

''Hapa mwanamke akifiwa lazima aje kwangu nimuondolee mkosi hata kabla ya kuzikwa kwa mumewe''.

''Mwanamke akiavya mimba pia kabla hajarejelea maisha yake ya kawaida ama hata kushiriki ngono na mwanamume mwengine lazima aje kwangu nimsafishe''. alisema Fisi huyo.

Aniva ambaye anaumri wa takriban miaka 40 ana wanawake wawili na watoto 5.

Anasema kuwa pale anaposhiriki ngono na watoto hao huwa anapewa muda wa siku 3 hivi kumsafisha na kumuondolea mkosi.

Kulingana na tamaduni zao, ikiwa mwanamke ama binti anakataa asibikiriwe huwa wanaamini kuwa jamaa zao watafuatwa na mikosi na magonjwa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WENGINE HUSEMA NI MILA POTOFU, LAKINI WAO WA MALAWI WANASEMA HUONDOA MIKOSI, HII NDIO DUNIA BWANA

No comments :