Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ARSENAL IMEPIGANA KIUME, LIVERPOOL IMEPIGANA KIUSHINDANI MATOKEO YAMEJIDHIHIRISHA EPL
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Liverpool imeionyesha Arsenal si kitu kwake baada ya kuichapa mabao 4-3 licha ya Arsenal kuwa nyumbani Emirates tena ikianza kufunga.

Arsenal ilikuwa ya kwanza kufunga bao kupitia kwa Theo Walcott dakika ya 30, ambaye muda mchache alikosa mkwaju wa penalti. Dakika ya 45, Coutinho akasawazisha.

Adam Lallana akafunga dakika ya 49 huku Coutinho akiongeza bao la tatu dakika ya 56.

Arsenal walianza kujipanga lakini kabla hawajakaa vizuri, Sadio Mane akafunga bao la nne katika dakika ya 63 na kuwalazimu Arsenal kuongeza juhudi hadi walipopata bao la pili katika dakika ya 64 kupitia Oxlade Chamberlain.

Katika mechi hiyo ya ufunguzi wa Ligi Kuu England, Arsenal iliongeza bao la tatu katika dakika 75 kupitia Calum Chambers katika dakika ya 75 lakini ikashindwa kupata bao la kusawazisha kwa dakika 25 zote za mwisho.

>>>>>VIDEO>>>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ARSENAL IMEPIGANA KIUME, LIVERPOOL IMEPIGANA KIUSHINDANI MATOKEO YAMEJIDHIHIRISHA EPL

No comments :