Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KATIBU WA MUDA WA CHADEMA WA KYELA ACHEZEA KIPIGO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

KATIBU wa muda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Kyela, Mponjoli Mwaikimba, amenusurika kufa baada ya kuvamiwa na kundi la wanachama walioingia kwenye ofisi za chama na kumpiga na kumsababishia maumivu makali. Patashika hiyo ilitokea jana saa tano asubuhi wakati katibu huyo akiwa ofisini kwake makao makuu ya Chadema wilaya, mjini hapa. Wanachama hao waliingia ndani na kuanza kumcharaza makofi na baadaye kumwacha akiwa hoi. Mwenyekiti wa muda wa chama hicho wilayani hapa, Philemon Mahenge, alisema alipata taarifa za uvamizi huo na alipofika ofisini, wavamizi walikuwa wametokomea ndipo alipochukua jukumu la kwenda kumpeleka polisi kutoa maelezo na baadaye kupewa fomu ya matibabu na kumpeleka hospitalini. Alisema kitendo kilichofanywa na watu hao, hakivumiliki na kuwa walipotoa ripoti polisi na kuwataja baadhi ya wanachama waliohusika, wanachama wawili walikamatwa huku wengine wakiendelea kutafutwa. Chanzo: Nipashe

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KATIBU WA MUDA WA CHADEMA WA KYELA ACHEZEA KIPIGO

No comments :