Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UDANGANYIFU WA MITIHANI NCHINI INDIA WASHIKA KASI.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Tabia ya baadhi ya wanafunzi kupenda kuigilizia majibu wakati wa mitihani si jambo la ajabu lakini kwa kilichotokea nchini India kimeweza kuchukua headlines kwa kiasi kikubwa.
Udanganyifu wa mtihani umekuwa jambo la kawaida katika Jimbo la  Bihar na kuna picha mpya zimetolewa zikionyesha tukio hilo likifanywa kwa kiwango kikubwa.
Wazazi na marafiki wa wanafunzi hao walipigwa picha wakipanda ukuta wa vyumba vya kufanyia mitihani ili wawape majibu wanafunzi katika mitihani kwenye moja ya shule za upili nchini humo.

Mpiga picha Dipankar ambaye alipiga picha hizo katika wilaya ya Saharsa amesema alipoingia katika chumba cha mtihani na kuchukuwa picha hizo wanafunzi hawakujali nakuendelea na kuigilizia majibu waliyopewa na ndugu zao.
Tayari baadhi ya wanafunzi waliohusika na udanganyifu huo wamefukuzwa shule huku wazazi wao wakifunguliwa mashtaka na bado uchunguzi unaendelea.
Mtihani huo ulioandaliwa na bodi ya shule ya Bihar (BSEB) ulianza Jumanne na unatarajiwa kuendelea hadi tarehe March 28.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UDANGANYIFU WA MITIHANI NCHINI INDIA WASHIKA KASI.

No comments :