![]() |
| Hapa ni Magomeni Dar es Salaam. |
![]() |
| Barabara ya Msimbazi Center October 25, 2015. |
![]() |
| Hapa ni njia panda ya Kigogo panavyoonekana. |
![]() |
| Msimbazi Center Dar es Salaam. |
![]() |
| .Barabara ya Kawawa, hapa ni Ilala Dar es Salaam hali ya hapa ni tofauti na siku za kawaida kwa sababu watu wengi wapo katika vituo vya kupigia kura. |
![]() |
| Pichani kwa mbali Wananchi wakiwa katika zoezi la kusubiri kupiga kura huu ni mtaa wa Kariakoo Dar es Salaam. |
![]() |
| Moja kati ya magari mapya ya Askari kwa ajili ya kulinda Usalama Tanzania. |
![]() |
| Wakazi wa wilaya ya Temeke wakiwa katika harakati za kusubiri kuingia katika chumba cha kupigia Kura, |
![]() |
| Huduma za usafiri wa Daladala umesimama kwa muda kutoka na Uchaguzi Mkuu 2015. |
![]() |
| Barabara ya Kawawa, hapa ni kuelekea Kinondoni hali ni shwari |
![]() |
| Wafanyabiashara wa wilaya ya Kinondoni nao wamefunga maduka kuelekea katika vituo vya kupigia kura. |
![]() |
| Hapa ni maeneo ya Kinondoni. |


































No comments
Post a Comment