mmoja kati ya member wa kundi hilo "Grampa Morgan " alipost kwenye ukurasa wake akiwashukuru wakeny akwa kufika katika show hiyo y aoktoba 3 jijini nairobi , lakini watanzania na wakenya wenyewe wakaugundua mchongo huo licha ya baadhi yao kuamini kweli ulikuwa ni umati wa waliohudhuria show ile.


No comments
Post a Comment