Kocha Jose Mourinho wa Chelsea amesema kamwe hatakimbia Stamford
Bridge eti kisa kile kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Southampton.
Lakini akasisitiza, kama wanataka kumfukuza, poa tu lakini
watajuta kumfukuza kocha gwiji ambaye hawakuwahi kuwa naye.
Mourinho ameiambia runinga ya Sky hivi: “Moja, kamwe siwezi
kukimbia, siwezi kukimbia majukumu yangu.”
“Pili kama klabu wanataka kunitimua, basi wafanye hivyo lakini
watajuta kumfukuza kocha bora kama mimi.”
Boss wa Mourinho akimtafakari mourinho na timu yake |
No comments
Post a Comment