Jumuiya ya Uchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) inakabiliwa na
hatari ya kuporomoka, baada ya Nigeria kusimamisha utoaji wa mchango na
ada zake kwa jumuiya hiyo.
Serikali ya Nigeria imesema haitatoa mchango wowote kwa jumuiya hiyo ya kiuchumi kutokana na limbikizi la madeni la nchi wanachama wengine wa jumuiya hiyo.
Jumuiya ya ECOWAS yenye makao yake makuu mjini Abuja nchini Nigeria, hutegemea pakubwa mchango wa nchi za Ivory Coast, Ghana na Nigeria.

No comments
Post a Comment