Msanii wa Hip Hop Tz Dudu Baya awaita ‘kenge’ wanaosema amefulia.adai yeye bado ni mamba
Dudubaya amewajia juu baadhi ya majirani
zake na Watu wengine waliosema amefulia na amekuwa akishinda maskani
muda wote kuvuta bangi.
Dudubaya amesema hao ni kenge wasioelewa maana ya maskani na daima atabaki kuwa mamba.
Maneno ya Dudubaya yamekuja siku chache
baada ya baadhi ya majirani zake kupitia EATV kusema amefulia na
anashinda maskani muda wote jambo ambalo jamaa amelikanusha vikali.
Amesema Watu lazima wajue siyo kila
maskani ni mbaya.sometimes anakwenda maskani kubadilishana mawazo na
washkaji na kupata ideas mpya za nyimbo akitoa mfano kuwa nyimbo nyingi
zake zilizohit enzi hzo alipata idea zake maskani.kila MTU hata
wanasiasa wana maskani,alisema Dudubaya
Source: Eatv
No comments
Post a Comment