WATU 8 wamefariki dunia wakiwemo 6 wa familia ya Msaidizi wa inspekta wa jeshi la polisi (IGP) katika
tukio ambalo limesababishwa na gari kusombwa na maji katika eneo la bwawani
wilaya Kibaigwa Mkoani Dodoma.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoani hapa Davidi
Misime amesema tukio hilo limetokea januari 3 mwaka huu majira ya saa tatu
usiku.
Hata hivyo Kamanda Misime anaele zaidi kuhusiana
na taarifa za tukio hilo.
Aidha kamanda huyo anawataja waliofariki dunia
katika tukio hilo.
Mbali na hao wa familia moja kamanda amesema
walifanikiwa wapata miili mingine miwili ambapo kati yao mmoja ni afisa mifugo
kata ya pandambili aliyefahamika kwa jina moja la Ludege.
kamanda wa polisi mkoani hapa anasema utaratibu ambazo zinafuata baada ya kuitambua miili hiyo.
kamanda wa polisi mkoani hapa anasema utaratibu ambazo zinafuata baada ya kuitambua miili hiyo.
Kwa upande wake Kaimu Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa mkoani
Dodoma Ibenzi Ernest amesema kuwa walipokea miili ya watu 6 ambapo bado
hawajafahamika majina yao.
No comments
Post a Comment