Na Nasri Bakari
1.Christiano Ronaldo -(1985)
Huyu ni
mwanasoka nguli kabisa duniani kwa sasa akiwa ametwaa tuzo tatu za mwanasoka
bora wa dunia na mataji mbalimbali duniani.Kwa sasa anchezea klabu ya soka ya
Real Madrid ya nchini Hispainia amezaliwa nchini Ureno(Portugal).
2.Elton John (1947)
2.Elton John (1947)
Huyu ni
mwimbaji,mtunzi wa nyimbo,mwandishi wa nyimbo,producer,na mpiga kinamba japo
ameandamwa na skendo mbalimbali za ushoga lakini kamwe hatumii
kilevi,anakumbukwa sana kwa nyimbo yake nzuri kabisa iitwayo Sacrife,kwa sasa
ameolewa.
3. .Bill
Gates – (1955)
William Henry Gates III) Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft,William
Gates III H anajulikana kama Bill Gates alizaliwa tarehe 28 Oktoba, 1955 na
kulelewa katika kijiji cha Seattle.
4.David Beckham-(1975)
Huyu ni mchezaji wa mpira wa zamani wa timu za Manchester Uniten,Real
Madrid na timu ya taifa ya uingereza pia ni manamitindo maarufu sana amezaliwa
Leytonstone United Kindom huko Uingereza.
5.George W.Bush-(1946)
Huyu alikuwa ni raisi wa Marekani,
kwa sasa ni mfanyabiashara,pia ni
mwanasiasa mkongwe amezaliwa New Heaven Nchini Marekani.
6.Eminem-(1972)
Huyu yeye ni mwanamuziki wa miondoko ya kufokafoka , pia ni mwandishi
mzuri wa nyimbo,pia ni producer ,amezaliwa Kansas City Marekani.
7.Akon-(1973)
Huyu japo kwa ni mwanafunzi mwenye asili
ya afrika kutoka nchini Senegal
,anafanya vizuri sana nchini marekani kwenye nyimbo aina ya R&B,pia ana
skendo ya kudanganya umri mara kazaliwa mwaka 1981 wengine wanasema kazaliwa
1973.
8.Jada Pinkett
Smith-(1971)
Huyu ni mke wa Will Smith yule muigiza na mwanamuziki wa marekani,yeye
ni mwandishi wa vitabu ,pia ni mfanyabiashara,muimbaji,mwandishi wa nyimbo,muongozaji
na mtengeneza filamu,na ni mwanamitindo,amezaliwa Marekani.
9.Jennifer Lopez-(1969)
Mwigizaji,mwimbaji,mwandisnyimbo,producer,mjasiliamali,mwanamitindo,
na mtayarishaji vipindi vya television,amezaliwa Marekani.
10.Robert Mugabe-(1924)
Huyu ni raisi mwenye
misimamo mikali pengine kuliko maraisi wote wa Afrika ,anakumbukwa kwa matukio
yake mengi ya kibabe amezaliwa Zimbabwe.
No comments
Post a Comment