Picha na mtandao>> sio ya habari hii |
DODOMA
Upunguvu wa
magari ya kubeba taka na vyombo vya kuweka katika manispaa ya Dodoma inawaweka wakazi hao hatarini ya kupata magonjwa ya milipuko.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti na Rasi
fm kwa upande wake Joseph Mushi amesema
manispaa ya Dodoma inatakiwa
kuongeza magari ya kutosha na vyombo vya kuweka takataka itatusaidia
kuondoa takataka zilizo zagaa kipindi hichi cha sikukuu kutoka magari hayo
machache yaliyopo kushindwa kupita
kuchukua takataka.
Aidha kwa
upande wake bi Mariam amesema kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka uchafu umezagaa sana kwenye
makazi ya watu hali hiyo inatuweka hatari ya kupata magonjwa ya milipuko kutokana mazingira kutoridishwa kikubwa
manispaa iongeze vifaa .
Hata hivyo
wananchi hayo wameomba wameiomba
manispaa ya Dodoma kufanya utaratibu wa
kufuta kauli mbiu iliyotumika kwenye tisa December kufanya mji kuwa safi
OLIVA/ BANDA
No comments
Post a Comment