Hivi karibuni kipindi cha MIKITO YA PWANI kinachoongozwa na mtangazaji
mahiri katika miondoko y a PWANI Mwajuma Ismail Aka Kichuna lilitangazwa
shindano la mpenzi wa kipindi hicho atakayetoa jina la segment mbili za kipindi
hicho zilizotakiwa kubadilishwa ikiwemo ya MJAZE AJAZIKE ambayo imepatiwa jina
jipya na kuitwa MTUNGINI pamoja na ile ya DOMOKAYA.
Mshindi wa zawadi hiyo amepatikana na kukabidhiwa zawadi
yake hapo jana na jina lake anaitwa Rehema msengi ambaye ni Muuguzi au unaweza kusema “nurse “ wa NESUDA MEDICAL
CENTER.
Rehema msengi Kulia mshindi na aliyejifunga kilemba ni alie msindikiza anaitwa mrs bize mfanya biashara wa baiskeli majengo |
KICHUNA mtangazaji wa mikito ya pwani RASI FM katikati akimfunika khanga mshindi |
No comments
Post a Comment