Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » KATIKA AFYA LEO DOKTA RICHARD KAVISHE ANAKULETEA UGONJWA WA STRESS {MIFADHAIKO}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Inawezekana unasumbuliwa na magonjwa ya aina tofauti na umeshindwa kupata tiba sahihi sasa ni muda wako wa kujifunza na kujua njia sahihi ya kujilinda pia kupata matibabu kutoka Golden Gate Sanitarium Clinic . kumpata utatumia namba zilizoko chini kabisa ya somo hili ..
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&

STRESS{MIFADHAIKO}
Hii ni hali yoyote ile inayoweza kumtoa mtu katika hali yake ya kawaida eidha kimwili au kiakili. Neno stress linamaana ya different things to different people.

VYANZO

Vitu vyote vyenye uwezo wa kusababisha mfadhaiko vinaitwa stressors. Navyo vipo vingi sana km vile magonjwa,kufiwa,mapenzi,kazi,kudhraulika na hata folen njian. Vitu hivi ugawanywa katika makundi matatu

Catastrophes
Haya ni yale mambo ambayo hutokea gafla sana kama majanga na inakuwa ngumu sana kukabiliana nayo. 

Kuna mtikisiko wa ardhi,vita,moto,mafuriko nk. 

Hali hii uadhiri watu kwa muda mrefu hata kama tukio lisha pita muda mrefu kama vile vita vya kwanza na vya pili, sunami nk

Major life changes

Hali hii utokea kunapotokea kifo cha mwanafamilia ambaye ndiye aliyekuwa tegemeo lao, talaka,kuachishwa kaz, magonjwa na hata ulemavu ambao haukutegemewa. 

Wapo wale akina mama ambao wameajiriwa na wana mishahara mikubwa lakin bado hawajaolewa nalo pia ni tatizo.maanake ukijaribu kutazama mbele hupati picha ya cku za usoni.

Daily hassles

Huu ni mfadhaiko ambao huwakumba watu kila siku kama wale wanaoshi kwenye nyumba zenye kelele, ugomvi usioisha,kufanya kazi na watu wasiokupenda au mazingira ya kufanyia kazi hayakupendez.

MADHARA YA STRESS

Stress response
Kunapokuwepo na mfadhiko! mwili kupitia endocrines zake huzalisha hormone ambazo uamsha misuli, kupandisha shinikizo la damu na damu kusambaa sehemu zote za mwili inaingia kwenye ngozi na hata kwenye ubongo kuhema kwa haraka, macho kuwa mekundu hali ambayo huitwa fight-or fight response Decreased immune response

Kwa kawaida mfadhaiko usababisha kinga za mwili kushuka na kuruhusu mgonjwa nyemelezi
 
Diseases
Kwa kiasi kikubwa sana mfadhiko usababisha magonjwa ya moyo maumivu makali ya mwili na hata magonjwa ya saratan pia fibromyalgia

.
FIBROMYALGIA SYNDROME CHRONIC MUSLE PAIN SYNDROME
 
VYANZO

Ugonjwa huu kwa kawaida utokana na misongo ya muda mrefu. 

Baadhi ya kemikali au hormone kuzalishwa kwa wingi na kuadhiri utendaji wa misuli. 

Utafti unaonyesha kuwa wanawake ndio waadhirika wakubwa. 

Kwa kawaida ugonjwa huu udhaniwa kuwa ni baridi yabisi, ugonjwa huu usababisha kuuma na kukakamaa kwa na haswa unapokuwa katika misongo. 

Kawaida ya watu wenye tatizo hili upata usingiz wa mang’am ng’amu, misuli kucheza cheza na maumivu sehemu mbali mbali za mwili utokea wakati wa usiku.

 Ugonjwa huu una tender point ambazo uwa za pekee sana ukilinganisha na magonjwa mengine. 

Tender point hizi zipo kumi na ni kama ifuatavyo. 

1. Misuli iliochini ya fuvu la kichwa.
2. Shingo
3. Sehemu ya juu ya mgongo maeneo ya mabega na katikati ya mgongo.
4. Maumivu ya kiwiko.
5. Maeneo ya chini ya mifupa inayounda shingo
6. Maumivu kuanzia mbavu ya pili eidha kulia au kushoto.
7. Maumivu upande wa juu na sehemu za nje za makalio.
8. Maumivu sehemu za migupa iliokatikati ya magoti na nyonga.
9. Na maumivu ya magoti katikati kwa ndani.
10. Nyayo kuwaka moto.

Kwa kawaida watu wenye mataizo haya ukabiliwa na magonjwa ya kukosa usingizi kama vile insomnia,bruxism{ugonjwa unaosababisha mtu kusaga meno eidha kwa sababu ya hasira aumawazo} au restless leg syndrome na pia uchoka sana. 

Dalili za ugonjwa huu uanza kipindi cha ujana 20-40 na uendelea hadi tatizo linapokuwa sugu. Saa zingine utoweka na kisha kurudi tena. 

Kama tulivyosema hapo hawali ni kwamba ugonjwa huu chanzo kikuu ni mawazo,misongo au sonono japo utafti pia umebaini kuwa matumizi ya madawa yenye kemikalizenye uwezo wa kuadhiri uzalishwaji wa hormone pamoja na madini kama zebaki,risasi, alluminiamu. 

Wengine wamebaini kuwa mtu mwenye virusi wanao sababisha mafua nao wamo hatarini kukumbwa na tatizo hili.

Dalili
Upweke, misongo,uchovu, misuli kuuma na viungo,kuumwa na kichwa,kuvimba kwa mfumo wa chakula, kukosa usingizi na kukaza kwa misuli. 

Sononeko limeonekana ndio chanzo kikubwa zaidi. Matatizo ya hedhi kwa akina mama, kiherehere cha moyo{palpitation} kupungua kwa kumbukumbu, kizunguzungu, macho na mdomo kukauka. kioo cha macho kubadili rangi. Kunyanyua au kupanda ngazi inakuwa shida kwa mhusika, kuuma kwa viungo ndio dalili kuu.

Prepared by Golden gate sanitarium clini
Under Dr. Ritchard kavishe
Hotline 715-030961 /0756-098022
Email goldgatesanitarium@gmail.com

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / KATIKA AFYA LEO DOKTA RICHARD KAVISHE ANAKULETEA UGONJWA WA STRESS {MIFADHAIKO}

No comments :