Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NICK VUJICIC BINADAMU ASIYE NA MIGUU NA MIKONO LAKINI UWEZO WAKE HAKUNA MFANO WA KUMUIGA.....VIDEOZ...
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Baada ya kuvutiwa na story ya jamaa yangu huyu ajulikanaye kwa jina la Nick Vujicic kupitia kwa mshkaji wangu kevin lameck katika ukurasa wake wa FaceBook nikaona ni bora niitafute historia ya huju jamaa kisha nitazame maajabu yake na nilipoyaona nikaona nisikuache mbali Best yangu...ni bora ku share hii kitu kuitazama.....

kwa sasa Kevin Lameck kaamua kukujuza zaidi kuhusu huyu mshkaji na ndo kwanza yupo Part1 kwahiyo usichoke kumfuata katika mtandao wa kijamii wa FB ili kuyafahamu mengi kumhusu huyu mserbia bt kwa sasa ni kwa ufupi sana juu ya historia yake zaidi tazama video ya matukio anayoyafanya huyu mtu wa mungu mwenye maajabu mengi kuliko unavyoweza kumdhania....Enjoy

‪#‎NICK‬ VUJICIC; MLEMAVU MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI
• Alimuomba Mungu miguu mikubwa na mikono, akanunua viatu kuamini atapata miguu.

• Alipoona hapati akamshukuru Mungu kwa uhai alionao.

Unakuwa na miguu, unakimbia kwa kasi huku ukirukaruka. Unakuwa na mikono, unashika kila kitu unachotaka kushika. Mungu amekupa viungo vyote, haimaanishi wewe ni muhimu kuliko walemavu wengine, jua kwamba ni nafasi ya kipekee na ya upendeleo uliyoipata, inawezekana haukustahili.

Kwa jina anaitwa Nicholas James "Nick" Vujicic, ni miongoni mwa watu waliofanikiwa japokuwa hana mikono, na miguu aliyokuwa nayo ni midogo mno.

Leo, unapozungumzia kuhusu watu wenye mafanikio ambao ni walemavu, basi jina lake litakuwa miongoni mwa majina hayo.

Mbali na ulemavu aliokuwa nao lakini Vujicic ni mfundishaji mzuri kwa watu masomo na mbinu zinazoweza kumfanya mtu kufanikiwa (motivational speaker). Katika kila semina anayoifanya, watu wengi wanakusanyika na kumsikiliza huku, wanajifunza mbinu za kufanikiwa kutoka kwa mtu ambaye wala hawezi kukimbia.

Azaliwa akiwa na Phocomelia
Vujicic alizaliwa mwaka 1982 katika Jiji la Melbourne nchini Australia. Mara baada ya kuzaliwa, madaktari walipomuona, walishtuka kwani aligundulika kuwa na tatizo la kukosa viungo ambalo kwa kitaalamu huitwa Phocomelia.

Alipokuwa akikua, hakutaka kujiona kama alikuwa mlemavu bali alichokifanya ni kufanya mazoezi kwa nguvu, kuvipa nguvu viungo vyake hasa miguu yake ambayo ni midogo mno isiyokuwa na uwezo hata wa kuvalishwa viatu.

SAFARI YAKE YA MASOMO
Alianza kusoma katika Shule ya Runcorn State ambayo ipo nchini Australia inayochukua watoto kuanzia miaka 12-17.

Alipofikisha miaka 17, akaanza kuzungumza na wanafunzi mbalimbali akiwafundisha kuhusu mafanikio, nini walitakiwa kufanya, nini hawakutakiwa kufanya ili wafanikiwe.

Alipofikisha miaka 21, akamaliza masomo yake katika Chuo cha Griffith na kuchukua Shahada ya Uchumi, pia akachukua Uhasibu na Mipango Fedha kwa pamoja.

Mafundisho yake yaliwavutia watu wengi na hivyo kukusanyika na kuanza kumsikiliza. Wengi walimtabiria mafanikio hapo baadaye, hakuacha kujifunza, ili kuwa mwalimu mzuri ilikuwa ni lazima mtu ajifunze, hivyo akafanya hivyo.

>>>video yake hii hapa..

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NICK VUJICIC BINADAMU ASIYE NA MIGUU NA MIKONO LAKINI UWEZO WAKE HAKUNA MFANO WA KUMUIGA.....VIDEOZ...

No comments :