Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA YA KUBATIRISHA RED CARD YA KIUNGO CHEIKHOU KOUYATE,KIUNGO HUYO SASA ATAIKABILI ARSENAL JUMAMOSI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiungo wa kati wa West Ham Cheikhou Kouyate yuko huru kukabiliana na klabu ya Arsenal mechi ya Ligi ya Premia Jumamosi ijayo.
Hii ni baada ya Shirikisho la Soka la Uingereza kubatilisha kadi nyekundu aliyokuwa amepewa wakati wa mechi dhidi ya Crystal Palace Jumamosi.
Nyota huyo wa Senegal alifukuzwa uwanjani dakika ya 67 baada ya kumkaba Dwight Gayle, klabu yake ya West Ham ikiongoza 2-1 uwanjani Upton Park.
Mechi hiyo ilimalizika kwa matokeo ya 2-2.
Kadi hiyo nyekundu ingemfanya Kouyate, 26, akose kucheza mechi hiyo ya nyumbani dhidi ya Gunners.
FA imesema kupitia taarifa: "Tume huru ya kusikiza malalamiko imeamua kwamba mchezaji huyo alifukuzwa uwanjani kimakosa.”

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA YA KUBATIRISHA RED CARD YA KIUNGO CHEIKHOU KOUYATE,KIUNGO HUYO SASA ATAIKABILI ARSENAL JUMAMOSI

No comments :