Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WINNIE MANDELA ACHEMKA KURITHI NYUMBA YA RAIS HUYO WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Aliyekuwa mkewe Nelson Mandela amepoteza harakati zake za kutaka kurithi makao yalio mashambani ya rais huyo wa zamani wa taifa la Afrika Kusini.
Mahakama kuu ya Mthatha ilipuuzilia mbali ombi la Winnie madikizela mandela na kumtaka alipe gharama zote za kesi hiyo.
Alihoji kwamba nyumba hiyo ya kijiji cha Qunu ambapo Mandela alihudumu mda wake mrefu hadi kifo chake mwaka 2013,ni mali yake kulingana na sheria za kitamaduni.
Bw Mandela ambaye alikuwa rais wa kwanza mwesu wa taifa la Afrika Kusini mwaka 1994 aliipatia familia yake nyumba hiyo.
Alimpa talaka Bi Madikizela mandela mwaka 19196 baada ya miaka 38 ya ndoa.Serikali ilipinga harakati za bi Madikizela kurithi nyumba hiyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WINNIE MANDELA ACHEMKA KURITHI NYUMBA YA RAIS HUYO WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI

No comments :