Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » INAWEZA KUWA NI MFULULIZO WA KUBEMENDWA? ASLAY AKITHIBITISHA KUTOKA NA RUBY WA "NA YULE" ITAKUWA NI STORY MPYA TOWN
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Yawezekana kukawa na uwezekano mkubwa kuwa Aslay na Ruby wana mahusiano ya kimapenzi,Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsiri ya wawili hao kuwa katika  mahusiano.

Mrembo wa bongo fleva Ruby amepost picha za Aslay nakuandika maneno mazuri yanayoashiria kuwa ni mpenzi wake lakini pia kwa upande wa Aslay alipost picha za ruby nakuandika maneno matamu yanayoashiria wawili hao kuwa wapenzi kama inavyosomeka katika hizi picha.

Maneno maneno yasivuruge amani!! @aslayisihaka love you my sucre, apple Of my heart ๐Ÿ’❤,can't hide my feelings for you @aslayisihaka #wangu mm! #suuuu #NAYULE #FOREVER

My BFF...๐Ÿ˜˜

iamrubyafricaRohoo yangu mm apa @aslayisihaka

iamrubyafricaI know what is love....age is just 123... number# hata kwenye kiatu utaikuta,nakupenda kwasababu ya mapenz unayonipa,don't give a f**k...and @aslayisihaka suuuuuucreee plz come back home soonest cause I wanna give you somelove๐Ÿ˜๐Ÿ˜
#I LOVE YOU #I WANNA PLAY MY PART...

Aslay na yeye alipost hizii!!

aslayisihakaWangu Mimi #suuuuuu

aslayisihakaRamadhani Kareeeeeeeeem ..........#su

aslayisihakaNafa Taratibu #blackbeauty jamaniiii nyinyiiiiiii .......#su

aslayisihakaMaaashaallah ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ #suuuuuuuuuuuuuuu

Hayo ndio yaliyoendelea huko instagram lakini mawazo ya wengi yanadai huenda ikawa ni kiki ya nyimbo kati ya wawili hao tusubiri kuona mwafaka ni nini

usikilize Wimbo wake hapa wa "na yule"... hama kweli mapenzi hayana mwenyewe, unaweza penda kijana au mzee

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / INAWEZA KUWA NI MFULULIZO WA KUBEMENDWA? ASLAY AKITHIBITISHA KUTOKA NA RUBY WA "NA YULE" ITAKUWA NI STORY MPYA TOWN

No comments :