Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » DIAMOND KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2016 AFRIKA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Msanii wa Bongofleva ambaye anafanya vizuri kwa sasa kutokana na kuachia hit-songs kila kukicha na kuteka muziki wa Africa, Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliopewa heshima ya kufanya show katika tuzo ya mchezaji bora Africa January 5 na michuano ya mataifa ya Afrika 2017.

Diamond ataanza kuperform katika utoaji wa tuzo za mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2016 maarufu kama CAF Glo Awards ambazo zitafanyika January 5 Nigeria, ila January 14 2016 ataperform katika uwanja wa Stade de l’Amitié Libreville wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40000 wa kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya mwenyeji Gabon dhidi ya Guinea-Bissau.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / DIAMOND KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2016 AFRIKA

No comments :