Sambamba na mbinu mbalimbali, Makocha wawe na uwezo wa kushirikiana binafsi na wachezaji kuwahamasisha na kuwajengea misingi ya nidhamu.
Mafunzo yao hupaswa kupokelewa ipasavyo na lazima yaendane na hali za wachezaji kiakili na kimwili, Kitu maalum na cha msingi ni uwezo wa kocha kufanya mabadiliko yenye tija na kimbinu wakati wa mchezo.
Muhimu zaidi , makocha huitaji heshima kutoka kwa wachezaji wake kwa kuwaongoza kiuweledi. Wakufunzi wengi waliobobea kimbinu hushindwa kutokana na wao kushindwa kuongoza. Inahitaji mtu maalum kuweza kuwa Msanii pia mkufunzi jeshini."
- George Lwandamina.
Chanzo: Naipenda Yanga Facebook page
No comments
Post a Comment