Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MABAO 13 YANGA USHAMBULIAJI NI HATARI ZAIDI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

YANGA kwa sasa hawashikiki katika michuano ya Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), kutokana na kuwa na washambuliaji moto na ukuta wa chuma hali ambayo imeanza kuwatia hofu wapinzani kwa kila timu kwenye ligi hiyo.
 
Katika mechi tano ambazo wamecheza, Yanga wameshinda zote huku safu yake ya ushambuliaji ikionekana kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kupachika mabao 13, ikiwa ni wastani wa ushindi wa mabao 2.6 katika kila mechi.
 
Wakati safu ya ushambuliaji ikionyesha makali hayo, safu ya ulinzi ya klabu hiyo ya Jangwani inaonekana kuwa kama ukuta wa chuma kwani hadi sasa ndiyo timu pekee ambayo imefungwa bao moja tu kwenye msimamo wa ligi hiyo.
 
Licha ya kwamba wanafungana kwa pointi na mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wote wakiwa na pointi 15, Azam wao wamefunga mabao tisa (9) na kufungwa mawili hiyo wanakuwa na wastani wa mabao saba (7), wakati Yanga wao wanakuwa na wastani wa mabao 12.
 
Yanga ambayo juzi ilivunja mwiko kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kwa kuivurumisha Mtibwa Sugar mabao 2-0, ilifungwa bao pekee kwenye ligi hiyo katika mechi dhidi ya KJT Ruvu ambapo mabingwa hao watetezi waliibuka na ushindi wa mabao 4-1.
 
Chanzo:Bingwa

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MABAO 13 YANGA USHAMBULIAJI NI HATARI ZAIDI

No comments :