Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA WAKAAZI MKOANI DODOMA WAMETAKIWA KUZITUMIA KUISAIDIA JAMII INAYONYANYASWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hizi ni picha zikionesha mfano wa unyanyasaji wa kijinsia
Dodoma
Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kutumia siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kati yakihusisha mikoa ya Dodoma,Singida,Morogoro na Tabora.
Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi:Chiku Gallawa kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa maadhimisho hayo yaliyofanyika leo katika viwanja vya Nyerere Square mjini hapa.
                           
Aidha kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma David Misime amezungumzia baadhi ya matendo ya ukatili wa kijinsia na athari zake kwa jamii baada ya kutendeka.
                                 
Akizungumza na kituo hiki kuhusu maadhimisho haya Bi:Mariam Kianga ambaye ni mkazi wa Manispaa ya Dodoma amesema kuwa ushirikiano wa kila nyanja unahitajika ili kukomesha maswala hayo yakiunyanyasaji yanayoendelea katika jamii.
                              
Naye kwa upande wake Bw:Wilson Mwangu amesema kila mwananchi ana wajibu kupinga na kuyazuia kuanzia ngazi ya familia ili kumaliza vitendo hivyo.
                                
 Hata maadhimisho hayo yanayofanywa kila mwaka ndani ya siku kumi na sita kupinga ukatili wa kijinsia kwa kanda ya kati yameandaliwa na Shirika la AFNET kwa kushirikiana na Mtandao wa kupambana na ukatili wa kijinsia(MKUKI) pamoja na Jeshi la Polisi yenye kauli mbiu inayosema “FUNGUKA,CHUKUA HATUA,MLINDE MTOTO APATE ELIMU”. 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA WAKAAZI MKOANI DODOMA WAMETAKIWA KUZITUMIA KUISAIDIA JAMII INAYONYANYASWA

No comments :