Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAFANIKIO YA TASAF MKOANI NJOMBE NI UKOMBOZI KWA WANA NJOMBE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

NA: JOHN BANDA
..................................

Fedha zilizotolewa na mfuko wa Tasaf awamu ya tatu kwa ajilia ya kunusuru kaya maskini katika wilaya ya Ludewa zimeanza kuonyesha mafanikio kwa walengwa na kubadilisha maisha yao kwa kuanza kuuaga umaskini ikiwa ni miezi michache baada ya kuzana kutolewa.

Zlizotolewa kwa kaya maskini 3174 zimeanza kuonyesha mafanikio kwa walengwa kuondokana na umaskini kwa kujishughulisha na ufugaji kuku, nguruwe na wengine kuanza ujenzi wa nyumba bora za kuishi.

Anes Nyangonyara, Mona Haule, Michael Haule ni Wanufaika wanashuhudia mabadiliko baada ya kupata fedha jinsi zilivyo badilisha maisha yao.

Mratibu wa Tasaf wilaya hiyo William Malima anaelezea idadi wanufaika wa fedha za Tasaf katika kijiji cha Ludewa vijijini na jinsi walivyo badilisha maisha yao huku makamu mwenyekiti akitoa wito wa kuongeza misaada.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Rehema Nchimbi amewagiza  maafisa ugani katika mkoa wa Njombe kuwatembelea wanufaika wa Tasaf ili kuwapa msaada kwa walipo fikia.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAFANIKIO YA TASAF MKOANI NJOMBE NI UKOMBOZI KWA WANA NJOMBE

No comments :