Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » FILAMU YA HARUNA NIYONZIMA NA YANA EPISODE YA 3 HII HAPA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Baada ya uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza kuwa imevunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima, January 17 kiungo huyo akiwa katika makao makuu ya klabu hiyo, pamoja na afisa habari wa YangaJerry Muro, alitangaza kuomba radhi wanachama, wapenzi na mashabiki wa Yangambele ya waandishi wa habari kutokana na kosa alilolifanya.
Licha ya kuwa afisa habari wa Yanga Jerry Muro kutotangaza rasmi kuwa klabu imemsamehe, na kusema kuwa isubiriwe taarifa rasmi, dalili zinaonesha kuwa uongozi waYanga na Niyonzima umeyamaliza.
Yanga walitoa barua kwa umma ya kuvunja mkataba na Niyonzima December 28 2015, barua ambayo inaeleza makosa ya Niyonzima ambayo yamepelekea haya yote kutokea. Unaweza pitia barua ya Yanga iliyotolewa December 28 2015 na mkuu wa idara ya habari wa klabu hiyo.
                                              VIA MILLARDAO.COM

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / FILAMU YA HARUNA NIYONZIMA NA YANA EPISODE YA 3 HII HAPA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

No comments :