Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NDEREMO ZA NYUMBA MBILI HUKONDESHA FISI WASTARA ATUPIA PICHA ALOPIGA NA MKE MWENZA.....ASEMA !!!!!!!!!!!!!!!!!!! WAO NI DAM DAM
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wastara akiwa na mke mwenza

 Na mwandishi wetu,Nasri Bakari

   Hakuna kiumbe asiye na ila ndio msemo unaoweza kusema kwa sasa kutokana na watu wengi kuisimanga ndoa ya diva nguli Tanzania msanii wa maigizo Wastara Juma kuolewa ndoa ya uke wenza a.k,a matala na wambea hao kusema mke mkubwa na mke mdogo wastara Juma awaelewani .
Sasa amwajibu kwa kusema dua la kuku halimpati mwewe na wao wote ni wake halali wa Mr Mbunge na wanaelewana kama mapacha na kuamua kuwadhihirishia kwa kutupia picha.

Imeandaliwa na Nasri Bakari
Mhariri mkuu Denice J.Kazenzele

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NDEREMO ZA NYUMBA MBILI HUKONDESHA FISI WASTARA ATUPIA PICHA ALOPIGA NA MKE MWENZA.....ASEMA !!!!!!!!!!!!!!!!!!! WAO NI DAM DAM

No comments :