Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SAMATA IMETIKI KIULAYA ULAYA - MOIZE KATUMBI AKUBALI MTAMBO WA MAGOLI AFRIKA UELEKEE UBELGIJI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na Nasri Bakari

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA  , Mshambuliaji wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta amepaa usiku wa kumkia leo kuelekea Ubelgiji kukamilisha usajili wake wa kujiunga na klabu ya KRC Genk inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo.

Kuondoka kwa Samatta ni kama kunamaliza sintofahamu iliyogubika hatima ya wapi atakapoelekea baada ya mkataba wake na Mazembe kumalizika, huku mmiliki wa timu hiyo akiweka ngumu kumruhusu kujiunga na Genk akitaka aende Ufaransa kwenye klabu ya Nantes.

Safari ya Samatta kuelekea Ubelgiji, imethibitishwa na familia yake ambayo imelazimika kuahirisha sherehe iliyoandaliwa kwa ajili ya kumpongeza.

Baba mzazi wa mshambuliaji huyo, Ally Samatta alisema sherehe hiyo ambayo ilikuwa ifanyike leo, haitokuwapo kutokana na safari ya Mbwana kwenda Ubelgiji.

Sherehe haitafanyika kesho (leo), kwani Samatta anaondoka usiku wa leo (jana) kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kujiunga na Genk ya Ubelgiji na sisi kama familia tumepanga kuifanya siku nyingine,” alisema   mzee Ally Samatta. 

Imeandaliwa na Nasri Bakari

Mhariri Mkuu:,Denice J. Kazenzele

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SAMATA IMETIKI KIULAYA ULAYA - MOIZE KATUMBI AKUBALI MTAMBO WA MAGOLI AFRIKA UELEKEE UBELGIJI

No comments :