Edwin Semzaba enzi za Uhai wake |
Na : Nasri Bakari
Tanzia: taarifa ya kifo cha mwandishi, muigizaji
na mhadhiri wa chuo kikuu cha Daresalaam na mwenyekiti wa chama cha waandishi
wa vitabu nchini (UWAVITA ), Edwin Semzaba.
Interesting fact ambayo wengi hawajui ni kuwa Semzaba aliandika Tamthilia hiyo akiwa Shule ya sekondari kidato cha tatu. Akaihifadhi hadi baadae ilipokuja kuchezwa RTD na hatimaye kuwekwa ktk kitabu.
Semzaba ni miongoni mwa waandishi wachache waliokua HAZINA ya Kiswahili nchini.
Mwandishi wa Kitabu cha "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Edwin Semzaba amefariki dunia jana jioni. Taarifa kamili itawajia baadae.
Je leo ni wanafunzi wangapi wa Kidato cha tatu wanaoweza kuandika Tamthili nzuri kama ya Ngoswe?? Hakika tumepata pengo..
R.I.P Semzaba.
Imeandaliwa na Nasri Bakari
Mhariri Mkuu Denice J.Kazenzele
No comments
Post a Comment