Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAULI YA MKE WA WILL SMITH KUHUSU TUZO ZA OSCAR
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jada Pinket mkewe nyota wa filamu Will Smith
 
atashiriki katika tuzo za Oscar?

Nyota huyo aliandika katika mtandao wake wa Tweeter siku ya jumamosi akionyesha kukasirishwa na ukosefu wa watu wa rangi tofauti miongoni mwa wale walioteuliwa kuwania tuzo za Oscar.

Katika msururu wa ujumbe huo katika mtandao wa Twitter,Jada mwenye umri wa miaka 44 alishangazwa alipogundua kwamba hakuna nyota weusi walioteuliwa katika orodha za juu wakati uteuzi huo ulipofanywa siku ya Alhamisi.

”Katika tuzo za Oscar watu weusi hukaribishwa kutoa tuzo mbali na kuwatumbuiza wageni”,lakini hatutambuliwa kwa usanii wetu ,alisema Jada.

”Je watu weusi wajiondoe katika tuzo hizo kwa jumla”,?Aliongezea.

”Watu wanafaa kutuchukulia vile tutakavyo’,kwa heshima kubwa”.

Kwa mwaka wa pili mfululizo,hakuna watu weusi walioorodheshwa katika orodha ya nyota bora au nyota bora mwanamke, ama hata nyota msaidizi.

Tangazo la walioteuliwa lilifuatiwa mara moja na hisia kali katika mitandao ya tweeter ikiwemo matumizi ya #OscarSoWhite

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KAULI YA MKE WA WILL SMITH KUHUSU TUZO ZA OSCAR

No comments :