Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » IKIWA UNAUFAHAMU UMUHIMU WA KIJANA KATIKA JAMII, HILI NALO UNAWEZA KULIONGEZEA HAPO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Vijana wametakiwa kuwa mabalozi wa mabadiliko ili kuweza kuondoa dhana iliyojengeka katika jamii kuwa mambo yote mabaya yanayotokea katika jamii wao ndio wahusika wakuu wa mambo hayo.

Kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa maswala ya vijana na ujasiriamali  Joseph Kaphinga wakati akiwasilisha mada inayohusu vijana na ujana iliyofanyika  mjini Dodoma chini ya mpango wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya AIRTEL ujulikanao kama AIRTEL FULSA TUNAWAWEZESHA.

Kaphinga amesema kundi la vijana limekuwa haliaminiki katika jamii kutokana na vijana walio wengi kujihusisha na utumiaji na usafirishaji wa  madawa ya kulevywa, wizi kutoa mimba ngono zembe  na  mambo mengine yanayofanana na hayo.

Kwa upande wake Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania Hawa Bayumi amesema  asilimia kubwa ya watanzania ni vijana hivyo  vijana wanatakiwa kuzichangamkia Fulsa zinazojitokeza na kuzitumia vizuri ili waweze kujikwamua kiuchumi ikiwemo kujiaminisha kwa makundi mengine kuwa wanaweza kuchangia pato la taifa kwa kiasi kikubwa.

Airtel Tanzania imeanzisha mpango wa kuwawezesha vijana kuanzia  umri wa miaka 18 hadi  24 kutokana na kuamini kuwa kundi hilo ndilo lenye uwezo na nguvu nyingi za kuleta mabadiliko ya kiuchumi kuliko kundi linguine nchini
LYDIA KISHIA/ BANDA

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / IKIWA UNAUFAHAMU UMUHIMU WA KIJANA KATIKA JAMII, HILI NALO UNAWEZA KULIONGEZEA HAPO

No comments :