Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAMA VIPI AONGOZE MAISHA TU KWANI KUNA UBAYA?
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza leo nia yake ya kugombea muhula wa tatu katika uchaguzi wa mwaka wa 2017, huku akithibitisha uamuzi uliotarajiwa na wengi kufuatia kuidhinishwa kwa marekebisho ya katiba ambayo yanaweza kumruhusu kusalia madarakani kwa miaka mingi ijayo. 

Akizungumza katika hotuba iliyorushwa na televisheni, Kagame amewaambia wananchi kuwa ameitikia wito wao wa kumtaka awanie muhula mwingine hapo mwaka wa 2017. 

Hata hivyo, amesema Rwanda haihitaji kiongozi wa milele. 

Kagame amekuwa madarakani tangu mwaka wa 2000, akiwa anadhibiti takribani kila muhimili wa utawala tangu jeshi lake la waasi lilipoingia mjini Kigali kusitisha mauaji ya halaiki ya mwaka wa 1994.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KAMA VIPI AONGOZE MAISHA TU KWANI KUNA UBAYA?

No comments :