Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RASI FM RADIO CHINI YA KIPINDI CHA MIKITO YA PWANI YATOA ZAWADI KWA SHABIKI ALIYEWEZA KUTOA JINA LA SEGMENT MUHIMU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hivi karibuni kipindi cha MIKITO YA PWANI kinachoongozwa na mtangazaji mahiri katika miondoko y a PWANI Mwajuma Ismail Aka Kichuna lilitangazwa shindano la mpenzi wa kipindi hicho atakayetoa jina la segment mbili za kipindi hicho zilizotakiwa kubadilishwa ikiwemo ya MJAZE AJAZIKE ambayo imepatiwa jina jipya na kuitwa MTUNGINI pamoja na ile ya DOMOKAYA.

Mshindi wa zawadi hiyo amepatikana na kukabidhiwa zawadi yake hapo jana na jina lake anaitwa Rehema msengi  ambaye ni Muuguzi  au unaweza kusema “nurse “ wa NESUDA MEDICAL CENTER.

Rehema msengi  Kulia mshindi na aliyejifunga kilemba ni
alie msindikiza anaitwa mrs bize mfanya biashara wa baiskeli majengo

KICHUNA mtangazaji wa mikito ya pwani RASI FM katikati akimfunika khanga mshindi

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RASI FM RADIO CHINI YA KIPINDI CHA MIKITO YA PWANI YATOA ZAWADI KWA SHABIKI ALIYEWEZA KUTOA JINA LA SEGMENT MUHIMU

No comments :