Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NANE WAFARIKI DUNIA AKIWEMO MSAIDIZI WA INSPEKTA WA POLISI IGP KWA AJALI YA GARI BAADA YA MAFURIKO KIBAIGWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

WATU 8 wamefariki dunia wakiwemo 6 wa familia ya Msaidizi wa inspekta wa jeshi la polisi (IGP) katika tukio ambalo limesababishwa na gari kusombwa na maji katika eneo la bwawani wilaya Kibaigwa Mkoani Dodoma.

Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoani hapa Davidi Misime amesema tukio hilo limetokea januari 3 mwaka huu majira ya saa tatu usiku.
Hata hivyo Kamanda Misime anaele zaidi kuhusiana na taarifa za tukio hilo.

Aidha kamanda huyo anawataja waliofariki dunia katika tukio hilo.

Mbali na hao wa familia moja kamanda amesema walifanikiwa wapata miili mingine miwili ambapo kati yao mmoja ni afisa mifugo kata ya pandambili aliyefahamika kwa jina moja la Ludege.

kamanda wa polisi mkoani hapa anasema utaratibu ambazo zinafuata baada ya kuitambua miili hiyo.

Kwa upande wake Kaimu  Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa mkoani Dodoma Ibenzi Ernest amesema kuwa walipokea miili ya watu 6 ambapo bado hawajafahamika majina yao.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NANE WAFARIKI DUNIA AKIWEMO MSAIDIZI WA INSPEKTA WA POLISI IGP KWA AJALI YA GARI BAADA YA MAFURIKO KIBAIGWA

No comments :