Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAOMBA KUINGIA STENDI YA MABASI MKOANI NJOMBE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Njombe
 
MADEREVA  wa pikipiki wanao fanya biashara ya usafirishaji maarufu Bodaboda mkoani Njombe wameiomba serikali kuwasaidia kuwaparuhusa ya kuingia ndani ya stendi ya mkoa huo baada ya kuzuiliwa kuingia humo.

Inadaiwa na bodaboda hao kuwa wanazuiliwa kuingia katika stendi hiyo na kukamatwa wanapo egesha pikipiki zao nje ya stendi hiyo na kuwa huwa wanatozwa faini pindi wanapo kuwa wameendesha nje ya stendi na wanapo ingia ndani.

Wakitoa malalamiko yao kwa mbunge wa mkoa wa njombe viti maalumu kupitia Chadema Lusia Mlowe madereva hao wamesema kuwa serikali inavyo fanya hiyo inawanyima uhuru wateja wao.

Philimoni Edward, Mwenyekiti bodaboda, mkoa wa Njombe, (2) Franco Mhoha Katibu wa madereva bodaboda mkoa wa njombe Albeto Danda dereva bodaboda wanaeleza

Hata hivyo mbunge huyo akizungumza na madereva hao na kuchukua kelo zao alisema kuwa anaiomba halmashauri kuwaruhusu bodaboda kuingia stendi na abilia wao ili kuto wanyanyasa abilia  na madereva.

Mbunge huyo yupo katika ziara ya mkoa mzima ili kujua changamoto za wananchi mbalimbali katika mkoa huo tayari kwa kuziwasilisha bungeni mapema mwaka huu.

Na Furaha Eliab via John Banda, 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAOMBA KUINGIA STENDI YA MABASI MKOANI NJOMBE

No comments :