Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » LICHA YA TISHIO LA NJAA, MAHINDI MKOANI NJOMBE YAFYEKWA NA......................
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Njombe

ZAIDI ya heka 20 za mahindi za wakazi wa kijiji cha Mpanga halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe zimefyekwa na watu wanaodaiwa ni askari wa wanyamapoli wa hifadhi ya bonde la mto Balali maeneo ya Mpanga Kipengele.

Wakizungumza kwa masikitika katika mashamba hayo wananchi wa kijiji hicho wamesikitishwa na kindo hicho kwa kuwa eneo hilo wanalima baada ya kuhamishwa katika kiji cha Mpanga na kuhamia eneo hilo ambalo kwa sasa linaitwa Mpanga mpya.

Mzee Barton Mbuchi na Mwenyekiti wa mfreji huo Lusundo Lusupo wanaeleza

Wananchi hao wamesema kuwa mbali na kulipia pia wafyekaji hao wamekuja katika eneo hilo ikiwa ni mara ya pili na kufanya uharibifu wa mahindi, Migomba ambayo thamani yake inakadiliwa kuwa haizidi milioni 30 huku ndizi lizizo komaa wakiondoka nazo.

Hata kuvyo Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Njombe Lucia Mlowe amefika katika eneo hilo na kutoa pole kwa waathilika wa kukatiwa mahindi na kusema kuwa serikali ni vema inefanya mazungumzo na wananchi hao na kufikia muafaka kuliko ilivyo fanya.

Aidha meneja wa Tanapa hifadhi ya  kipengele alisema kuwa yeye sio msemaji na kutaka kuwasiliana na Wizara kwa ufafanuzi.

Na Furaha Eliab,via John Banda

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / LICHA YA TISHIO LA NJAA, MAHINDI MKOANI NJOMBE YAFYEKWA NA......................

No comments :