Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UPUNGUFU WA MAGARI TAKA , TISHIO KWA WAKAAZI WA DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Picha na mtandao>> sio ya habari hii
DODOMA

 Upunguvu wa magari ya kubeba taka na vyombo vya kuweka katika manispaa ya Dodoma  inawaweka wakazi  hao hatarini ya kupata magonjwa ya milipuko.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti na Rasi fm  kwa upande wake Joseph Mushi amesema manispaa ya Dodoma inatakiwa  kuongeza magari ya kutosha na vyombo vya kuweka takataka itatusaidia kuondoa takataka zilizo zagaa kipindi hichi cha sikukuu kutoka magari hayo machache yaliyopo kushindwa kupita  kuchukua takataka.

 Aidha kwa upande wake bi Mariam amesema kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka uchafu umezagaa sana kwenye makazi ya watu hali hiyo inatuweka hatari ya kupata magonjwa ya milipuko  kutokana mazingira kutoridishwa kikubwa manispaa iongeze vifaa .

Hata  hivyo wananchi hayo wameomba    wameiomba manispaa ya Dodoma   kufanya utaratibu wa kufuta kauli mbiu iliyotumika kwenye tisa December kufanya  mji kuwa safi
OLIVA/ BANDA

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UPUNGUFU WA MAGARI TAKA , TISHIO KWA WAKAAZI WA DODOMA

No comments :