Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SI WEWE TU HATA CHRISTIANO RONALDO NA NEYMAR WANAUTAMANI MGUU WA MESSI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Masaa machache kabla ya tuzo ya mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2015 haijapata mmiliki wake, wachezaji watatu wanaowania tuzo hiyo leo walikuwa na mkutano na waandishi wa habari.

Katika mkutano huo uliofanyika muda mfupi uliopita Cristiano Ronaldo alipata nafasi ya kumzungumzia mpinzani wake Lionel Messi baada ya kuulizwa anamzungumziaje muargentina huyo, Ronaldo alijibu:‘Ningekuwa na uwezo Ronaldo ningependa niupate mguu wake wa kushoto, mguu wake huo una uwezo kuliko wa kwangu,’ alijibu CR7 na baadae Neymar nae akamuunga mkono kwa kusema yeye angependa awe na miguu yote miwili ya mchezaji mwenzie wa FC Barcelona.

Katika upande mwingine Ronaldo alizungumzia skendo ya rushwa katika soka na akasema: ‘Ninachoweza kusema ningependa rushwa isiwepo, sio tu kwenye soka bali katika mfumo mzima wa kimaisha vilevile.’

ZILIVYOKUWA KURA ZA Ballon d'Or 

Lionel Messi 41.33%
Cristiano Ronaldo 27.76%

Neymar 7.86%

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SI WEWE TU HATA CHRISTIANO RONALDO NA NEYMAR WANAUTAMANI MGUU WA MESSI

No comments :