Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUELEKEA EURO 2016, KIKOSI CHA WALES CHAJICHIMBIA NDANI YA BONGE LA KAMBI {PICHAZ}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kikosi cha timu ya taifa ya Wales ambacho nahodha wake ni Gareth Bale tayari kimeanika kambi yake.

Kambi hiyo itakuwa ni kwa ajili ya michuano ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa katikati ya mwaka huu.

Chini ya Kocha Chris Coleman, kikosi hicho kitaweka kambi katika enero la pwani ya Resort of Dinard maarufu kama 'Cannes of the North' ili kuwafanya wachezaji kutulia kabisa na kujiandaa vya kutosha.

Tayari Bale anayekipiga Real Madrid aliishasema kwamba wanakwenda kupambana na kufanya vema na si washiriki tu kama ambavyo wengi wamekuwa wakiwafikiria.
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUELEKEA EURO 2016, KIKOSI CHA WALES CHAJICHIMBIA NDANI YA BONGE LA KAMBI {PICHAZ}

No comments :