Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TCRA: IFIKAPO TAREHE 18 VITUO HIVI VYA TV NA REDIO HAVITAKIWI KUSIKIKA WA WASIKILIZAJI NA WATAZAMAJI..KISA SOMA HAPA..........
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya TV kwa kushindwa kulipa kodi ya lesseni kwa wakati.
Akitangaza uamuzi huo, mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy, amesema kuwa mitambo ya vituo hivyo itazimwa ifikapo kesho saa 6 usiku, na itawashwa baada ya vituo hivyo kulipa madeni yanayowakabili.
Mungy amesema mamlaka hiyo haiwezi kusema ni kiasi gani cha pesa ambacho vituo hivyo vinadaiwa kwa madai kuwa kanuni na taratibu haziwaruhusu kutaja kiasi hicho kwa kuwa ni siri kati ya TCRA mteja.
Aidha Mungy amesema kuwa TCRA imewataka wadau wote wa mawasiliano nchini kutii sheria bila shuruti na kufuata taratibu, huku akisisitiza kuwa zoezi hilo la kuwasaka wanaokwepa kodi ni endelevu.TCRA yavifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya Television kwa muda wa miezi 3 kuanzia Jumatatu tarehe 18.

1. Sibuka fm
2. breez fm
3. Country fm
4. Ebony fm
5. Hot fm
6. Impact fm
7. Iringa manicipal Tv
8. Kiss fm
9. Kitulo fm
10. Kifimbo fm
11. Mbeya city municipal Tv
12. Radio 5
13. Radio free Afrika
14. Musa Television network
15. Pride fm radio
16. Radio huruma
17. Radio uhuru
18. Star Tv
19. Rock fm radio
20. Standard fm radio
21. Sumbawanga municipal Tv
22. Tanga City Tv
23. Top radio fm limited
24. Ulanga fm

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TCRA: IFIKAPO TAREHE 18 VITUO HIVI VYA TV NA REDIO HAVITAKIWI KUSIKIKA WA WASIKILIZAJI NA WATAZAMAJI..KISA SOMA HAPA..........

No comments :