Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TENISI: JOHANNA LARSSON AMTOA MWINGEREZA HEATHER WATSON MICHUANO YA HOBART
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

TENNIS
Ndoto za mwingereza Heather Watson, kutetea taji la michuano ya kimataifa ya tenisi Hobart, zimefutika baada ya kuchapwa na Johanna Larsson wa Sweden.
Larsson anayeshika nafasi ya 54 kwa ubora alipata ushindi huo licha ya kupoteza seti ya kwanza kwa 3-6 kisha akashinda kwa 6-4 na 6-4.
Hii ilikua ni mechi ya pili kwa Watson anayeshika nafasi ya 53 kwa ubora wa viwango baada ya kumshinda Monica Niculescu, katika mchezo uliopita.
Mchezo huo wa robo fainali ulitumia muda wa saa tatu na dakika kumi na tatu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TENISI: JOHANNA LARSSON AMTOA MWINGEREZA HEATHER WATSON MICHUANO YA HOBART

No comments :