Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ANDY CAROL HATI HATI UWANJANI KWA MAUMIVU YA MISULI YA PAJA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mshambuliaji wa West Ham Andy Carroll huenda akakaa nje kwa muda wa wiki sita baada ya kuumia misuli ya paja.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliondolewa uwanjani baada ya kucheza dakika 15 pekee mechi dhidi ya Bournemouth, ambayo walishinda 3-1.
Carroll, 27, alikuwa amewafungia West Ham mabao mawili katika mechi zake nne za majuzi zaidi baada ya kurudi kucheza Septemba 2015.
Kabla ya hapo, alikuwa amekaa miezi saba nje baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye goti lake.
Carroll, ambaye aliwahi kuchezea Newcastle, Carroll alijiunga na West Ham kutoka Liverpool kwa £15m mwezi Juni 2013.

West Ham wamo nambari tano ligini, alama moja pekee nyuma ya Tottenham walio nambari nne, zikiwa zimesalia mechi 17 za kuchezwa msimu huu.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ANDY CAROL HATI HATI UWANJANI KWA MAUMIVU YA MISULI YA PAJA

No comments :