Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUTOKA MADHABAUNI:WATANZANIA WATAKIWA KULIPA KODI KAMA INAVYOELEKEZWA NA SERIKALI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na Peter Mkwavila,DODOMA
WATANZANIA wamekumbushwa kuiunga serikali ya rais Dkt John Magufuli katika kushirikiana kwenye suala la ulipaji wa kodi ili kuimarisha uchumi kwa ajili ya maendeleo badala ya kuwepa .

Mchungaji Marcel Mushi wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Mnadani Revival Temple Dodoma alisema hayo wakati alipokuwa akihubiri kwenye ibada iliyofanyika katika kanisa hilo.

Alisema suala la kulipa kodi hata ndani ya vitabu vitakatifu lipo na watu walikuwa wakilipa, hivyo hakuna sababu ya kukwepa kinachotakiwa ni kushirikiana na serikali ili kuimarisha uchumi huo kwa kulipa kodi hiyo.

Alisema kodi hizo zimekuwa zikiwezesha kuwepo kwa miundombinu mbalimbali kama vile ya maji,umeme,afya,barabara  na majengo ya taasisi.

“Hivyo ni muhimu kuunga juhudi za ukusanyaji wa kodi,na tulinde kodi kwa kuwa zinatengeneza miundombinu mbalimbali ambayo ipo kwa ajili ya kuinua uchumi wa Mtanzania”alisema.

Akihubiri katika ibada hiyo aidha amewataka watanzania kutokukwepa kwenye uwajibikaji kufanya kazi zinazohusiana na shughuli za kimendeleo.kwa kuwa wasipofanya hivyo wanaweza kujiletea umaskini.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUTOKA MADHABAUNI:WATANZANIA WATAKIWA KULIPA KODI KAMA INAVYOELEKEZWA NA SERIKALI

No comments :